Mlevi na Mkewe
Vichekesho ·
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe
alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na
msela, MLEVI akarudi home ghafla.
mkewe akamwambia yule msela
Usiondoke, lala hivo hivo mume wangu
mlevi hatagundua.......Msela akalala
kweli........basi mlevi akapanda
kitandani wote watatu wakalala.....
Baada ya muda kidogo mlevi
akagutuka, akagundua...
. utofauti hapo
kitandani, akahesabu miguu na kuona
ipo sita, akamshtua mkewe,....."mke
wangu,mbona miguu ipo sita nani
kalala hapa??"....
Mkewe akamjibu kwa ukali,.toka hapa
na pombe zako,miguu sita itoke wap
hebu shuka kitandani uhesabu vizuri..!
Mlevi akashuka, akahesabu..
MOJA..MBILI..TATU..NNE....AHAA
KUMBE
KWELI NILIKOSEA
KUHESABU,SAMAHAN MKE WANGU!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
0656 095 123